Wanasiasa wanaocheza kamari hatari kuelekea 2027
UCHAGUZI mkuu wa mwaka wa 2027 unavyokaribia, siasa za Kenya zinashuhudia mwelekeo mpya ambapo baadhi ya viongozi waliochaguliwa wanaonekana kuwa tayari kuacha nyadhifa walizo nazo kwa sasa ili kutafuta kubwa na zenye mamlaka zaidi, ushawishi na umaarufu kitaifa. Kuanzia kwa maseneta wanaolenga ugavana, wabunge wanaotaka kuwa magavana, hadi magavana na wabunge wanaomezea mate urais, hali hii imege
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







