Trump aokoa maelfu ya ajira Kenya kwa kuongeza muda wa Agoa
MAELFUya wafanyakazi katika sekta ya nguo nchini Kenya wamepata afueni mpya baada ya Rais wa Amerika Donald Trump kutia saini sheria ya kuongeza muda wa Mpango wa Fursa na Ukuaji wa Afrika (Agoa) kwa miaka miwili zaidi, hatua inayohakikisha bidhaa za Kenya zinaendelea kuingia katika soko la Amerika bila ushuru hadi Desemba 31, 2028. Uamuzi huo unaokoa takriban ajira 6,600 zilizokuwa katika hatari
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







