Ruto abadili msimamo kuhusu kampuni ya Tata Chemicals
RAIS William Ruto amesema kandarasi ya uchimbaji wa madini katika eneo la Magadi itatangazwa upya kupitia zabuni yenye ushindani, hatua inayofungua fursa kwa kampuni nyingi kushiriki katika shughuli hiyo na kukomesha udhibiti wa muda mrefu wa kampuni ya Tata Chemicals ya India. Akizungumza Jumamosi katika Kaunti ya Kajiado wakati wa kuzindua mradi wa kuweka lami barabara ya Ngong-Kibiko-Kangeria,
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







