Visiki vya Kalonzo kuingia Ikulu 2027
KINARA wa Wiper Patriotic Front, Kalonzo Musyoka, ana uzoefu, ngome ya kisiasa ya kuaminika na nafasi nzuri katika kinyang’anyiro cha kutafuta mgombeaji urais wa upinzani mwaka 2027. Lakini wachambuzi wa siasa wanasema safari yake ya Ikulu sasa inakabiliwa na mtihani mkubwa. Baada ya miaka mingi akiwa katikati ya siasa za kitaifa, Kalonzo atalazimika kuthibitisha kwamba ana uwezo wa kujenga uungwa
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







