IEBC inavyojiandaa kwa uchaguzi wa 2027
TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeingia katika awamu muhimu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2027 huku ikiwa na chini ya mwaka mmoja kuhakikisha changamoto zilizopo zinatatuliwa. Mwenyekiti wa IEBC, Erastus Ethekon, amesema tume hiyo inaendelea na maandalizi mbalimbali, ikiwemo usajili wa wapigakura, teknolojia, ununuzi wa vifaa, elimu ya wapigakura, usafirishaji, kuajiri na kuwapa mafunz
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







