Sunday, 06 September 2026
USD/KES 129.4EUR/KES 150.3
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 57 Sunday, 06 September 2026
Top stories

Sifuna na Orengo wazika tofauti zao za kisiasa kuelekea 2027

Sifuna na Orengo wazika tofauti zao za kisiasa kuelekea 2027
Sources: taifaleo.nation.co.ke

GAVANA wa Siaya, James Orengo na Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, wameanza juhudi za kupunguza mvutano uliokuwa ukiongezeka ndani ya vuguvugu la Linda Mwananchi baada ya wiki moja ya ushindani wa kisiasa uliochochewa na tangazo la Orengo kwamba atawania urais. Viongozi hao wawili walikutana Ijumaa pamoja na Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino na wasaidizi wao wa karibu katika kikao ambacho dur

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.