Uhuru aibuka mwiba kwa Gachagua Mlimani
VITA vya kisiasa vya kudhibiti Mlima Kenya vinaingia awamu mpya huku aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua akijaribu kuimarisha ushawishi wake katika eneo hilo kuelekea uchaguzi wa 2027. Hata hivyo, uwepo wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta unatatiza juhudi za Gachagua kujitawaza msemaji mkuu wa Mlima Kenya. Mchuano huo unatokea baada ya kuvunjika kwa muungano wa kisiasa uliomsaidia Rais William Ruto k
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







