Tuesday, 08 September 2026
USD/KES 129.4EUR/KES 150.5
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 59 Tuesday, 08 September 2026
Top stories

Wageni waingiwa na taharuki tele kutokana na agizo la Rais Ruto

Wageni waingiwa na taharuki tele kutokana na agizo la Rais Ruto
Sources: taifaleo.nation.co.ke

MAMIA ya raia wa kigeni wanaofanya biashara nchini jana waligubikwa na taharuki na wasiwasi baada ya Rais William Ruto kuamuru msako dhidi yao hasa wale wanaofanya biashara ndogondogo. Amri hiyo iliyotolewa wiki jana Septemba 2 wakati wa mkutano na wafanyabiashara wadogo (MSME) ilisababisha pilkapilka za kukimbilia stakabadhi za kusafiri, baadhi ya biashara kufungwa na ripoti za vitisho na kuhanga

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.