Tuesday, 08 September 2026
USD/KES 129.4EUR/KES 150.5
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 59 Tuesday, 08 September 2026
Top stories

Sifuna awatikisa Mudavadi, Atwoli; waanza ziara Magharibi kumtetea Ruto kwa wananchi

Sifuna awatikisa Mudavadi, Atwoli; waanza ziara Magharibi kumtetea Ruto kwa wananchi
Sources: taifaleo.nation.co.ke

WIMBI la kisiasa la Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kupitia vuguvugu la Linda Mwananchi limewafanya baadhi ya viongozi wakuu wa serikali kutoka eneo la Magharibi kuanza kampeni kali kwa Rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027. Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi, ambaye amekuwa akijiepusha na shughuli za kisiasa, ameanza ziara za mashinani kuimarisha uungwaji mkono wa chama tawala cha UDA. Mwisho

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.