Moto kambi ya Ruto wandani wakivurugana wakisaka ubabe
UBABE wa kisiasa kati ya mawaziri au watumishi wa umma na wanasiasa wanaoumuunga mkono Rais William Ruto unaendelea kutokota, hali inayoweza kuathiri kuchaguliwa kwake tena mnamo 2027. Mivutano hiyo imejitokeza katika maeneo ambayo Rais anatarajiwa kupata kura nyingi huku ikiwa wazi Mlima Kenya iliyokuwa ngome yake ya kisiasa inaendelea kumponyoka. Katika Kaunti ya Kakamega, mvutano kati ya Waziri
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







