Monday, 07 September 2026
USD/KES 129.4EUR/KES 150.3
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 58 Monday, 07 September 2026
Top stories

Rais Ruto asisitiza Kenya haitauza madini ghafi nje ya nchi

Rais Ruto asisitiza Kenya haitauza madini ghafi nje ya nchi
Sources: taifaleo.nation.co.ke

RAIS William Ruto amesema Serikali yake inaandaa sera itakayokomesha usafirishaji wa malighafi kutoka Kenya kwenda nje, huku kampuni zikihitajika kuwekeza nchini, kuongeza thamani ya madini na kuunda nafasi za kazi. Akizungumza akiwa Kaunti ya Samburu, wakati wa hafla ya kutoa shukrani ya Katibu wa Ugatuzi, Michael Lenasalon, Rais Ruto alisema amechukua hatua binafsi kuhakikisha usafirishaji wa ma

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.