Monday, 07 September 2026
USD/KES 129.4EUR/KES 150.3
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 58 Monday, 07 September 2026
Top stories

‘Picha ya Bikira Maria’ kwenye ukuta jikoni yaibua gumzo Kisii

‘Picha ya Bikira Maria’ kwenye ukuta jikoni yaibua gumzo Kisii
Sources: taifaleo.nation.co.ke

KATIKA vilima vya eneobunge la Bobasi, Kaunti ya Kisii, nyumba ndogo ya udongo ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikitumika kama jikoni sasa imegeuka kuwa kivutio cha mamia ya waumini na wadadisi. Ni katika kijiji cha Getare, Emenwa, ambako mkulima Mary Onsombi, ambaye ni Mkatoliki mcha Mungu, anasema aligundua picha inayofanana na Bikira Maria kwenye ukuta wa jikoni lake uliojaa weusi kutokana na mos

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.