Ofisi 3 zinazohusishwa na Rais Ruto zafyonza Sh100 bilioni-ripoti
OFISI tatu zinazohusishwa na Rais William Ruto zilitumia Sh33 bilioni katika mwaka uliokamilika Juni 2026, kiwango cha juu zaidi kuwahi kutumiwa na ofisi za maafisa wakuu wa Serikali, kwa mujibu wa ripoti mpya ya Wizara ya Fedha. Matumizi hayo ya ofisi za Rais William Ruto, Naibu Rais Kithure Kindiki na Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi yanafanya jumla ya fedha zilizotumiwa na ofisi hizo tangu Ken
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







