Friday, 04 September 2026
USD/KES 129.4EUR/KES 150.3
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 55 Friday, 04 September 2026
Top stories

Hospitali zakwama Serikali ikilaumiwa kupuuza matatizo yanayolemaza idara ya Afya

Hospitali zakwama Serikali ikilaumiwa kupuuza matatizo yanayolemaza idara ya Afya
Sources: taifaleo.nation.co.ke

SERIKALI imelaumiwa kwa kupuuza sekta ya afya ya umma iliyoathiriwa na mgomo wa wauguzi huku ikishughulikia sekta nyingine na kuacha wagonjwa kuteseka. Wakati wafanyakazi wa sekta ya usafiri wa anga walipogoma Agosti 30 na kutatiza shughuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) pamoja na viwanja vya ndege vya Moi, Eldoret na Kisumu, serikali ilichukua siku mbili pekee kufanya

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.