Friday, 04 September 2026
USD/KES 129.4EUR/KES 150.3
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 55 Friday, 04 September 2026
Top stories

Rais kukita kambi Kajiado siku 3 kukagua miradi na kupigia debe ‘rekodi yake ya maendeleo’

Rais kukita kambi Kajiado siku 3 kukagua miradi na kupigia debe ‘rekodi yake ya maendeleo’
Sources: taifaleo.nation.co.ke

RAIS William Ruto ameanza ziara ya siku tatu katika Kaunti ya Kajiado, hatua inayotafsiriwa na wachambuzi kama juhudi za kuimarisha maendeleo na wakati huo huo kujiweka katika nafasi nzuri kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Rais anatarajiwa kuzuru maeneo mbalimbali ya Kajiado kati ya jana Septemba 3 na Septemba 7 kukagua na kuzindua miradi ya umeme, barabara, unyunyuzaji, masoko ya kisa

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.