Mwanamume ataka ukosefu wa nguvu za kiume utambuliwe kama ulemavu
MWANAUME mmoja Mkenya anataka matatizo kama vile ukosefu wa nguvu za kiume yatambuliwe kisheria kama ulemavu. Katika ombi alilowasilisha Bungeni, Dkt Benson Kibore amesema tatizo la nguvu za kiume na ukosefu wa hamu ya kushiriki mapenzi, hali inayojulikana kama HSDD, linahitaji kushughulikiwa kupitia sheria na sera za afya. Anasema matatizo haya, ambayo hapo awali yalihusishwa zaidi na wazee, sasa
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







