Friday, 04 September 2026
USD/KES 129.4EUR/KES 150.3
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 55 Friday, 04 September 2026
Top stories

Matumizi ya tiba asili na nafasi yake katika afya ya jamii

Matumizi ya tiba asili na nafasi yake katika afya ya jamii
Sources: taifaleo.nation.co.ke

UNAPOAMKA asubuhi ukiwa na mafua na kukohoa, kuna uwezekano mkubwa kuwa ushauri wa kwanza utapata kutoka kwa mwanafamilia hautakuwa wa kwenda hospitalini. Utaambiwa, “Chemsha tangawizi, limau kisha ongeza asali.” Kwa upande mwingine, ukiwa mashambani na unaumwa na tumbo, huenda ukasikia ukiambiwa uchemshe majani au mzizi fulani ambayo wazee wamekuwa wakitumia kwa miaka mingi. Kwa vizazi vingi, Wak

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.