Kaunti zapambana kuokoa huduma za Ukimwi baada ya ufadhili wa Amerika kukatika
KUPUNGUZWA ghafla kwa ufadhili wa kimataifa wa afya kumezilazimisha kaunti zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi kubuni njia mpya za kuhakikisha huduma haziathiriki. Homa Bay, Kisumu, Siaya, Migori na Mombasa ni miongoni mwa kaunti zinazokabili changamoto hiyo baada ya misaada kutoka kwa wafadhili wa kimataifa, hasa Mpango wa Dharura wa Rais wa Amerika wa Kukabiliana na Ukimwi (
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







