Friday, 04 September 2026
USD/KES 129.4EUR/KES 150.3
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 55 Friday, 04 September 2026
Top stories

Liverpool yashuka dimbani kusaka ushindi wa kwanza EPL

Liverpool yashuka dimbani kusaka ushindi wa kwanza EPL
Sources: taifaleo.nation.co.ke

LIVERPOOL watashuka dimbani kutafuta ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu wakiwa ugenini dhidi ya Ipswich Town hii leo katika uwanja wa Portman Road. The Reds walianza msimu kwa sare ya 2-2 dhidi ya Newcastle United kabla ya kurudia matokeo hayo hayo katika mechi yao iliyofuata dhidi ya Nottingham Forest. Hata hivyo, kikosi hicho sasa kinatumai kuondoka na alama zote tatu

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.