TAHARIRI: Serikali iingilie kati kwa dharura kukwamua sekta ya Afya
SERIKALI inapaswa kuingilia kati kwa dharura mzozo unaoendelea kati yake na wahudumu wa afya hasa wauguzi ili kukomesha migomo na kurejesha huduma katika hospitali za umma nchini. Afya ni haki ya msingi ya kila mwananchi, hivyo haifai wagonjwa kuachwa wakiteseka kwa sababu ya mivutano kuhusu masuala ya ajira. Migomo ya wahudumu wa afya imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa wananchi, hasa wale w
See all — taifaleo.nation.co.ke →Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.







