Thursday, 03 September 2026
USD/KES 129.5EUR/KES 150
Kenya News from Kenya · WORLD EUROS
Nº 54 Thursday, 03 September 2026
Top stories

Kenya yachezea mustakabali wa vijana wake kwa kuwaambia ‘wawe na subira’

Kenya yachezea mustakabali wa vijana wake kwa kuwaambia ‘wawe na subira’
Sources: taifaleo.nation.co.ke

KUNA ukatili wa aina yake katika kumwambia kijana aliyefaulu mtihani, akapata nafasi ya chuo kikuu na kuanza safari ya kubadili maisha yake kwamba sasa anapaswa kusubiri ili ajue kama Serikali itamfadhili. Hii si hadithi ya kuchelewa kwa karatasi ofisini. Ni hadithi ya taifa linalochezea mustakabali wa kizazi chake. Katibu wa Wizara ya Elimu ya Juu, Beatrice Inyangala amesema wanafunzi wa vyuo vik

See all — taifaleo.nation.co.ke →

Aggregated from the leading newsrooms of the country. Every story links to its original source.